
Deutsch – warum nicht? Fungu 2 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle Podcast
1) Somo 26 – Safari ya kwenda Loreley inapendeza ajabu
Ex mara ametoweka... Muhtasari wa sarufi: Hakuna sarufi mpya
2) Somo 25 – Unaweza kunipatia taulo za mkono?
Andreas, Dr. Thürmann na Frau Berger wanaandaa safari ya meli... Muhtasari wa sarufi: Vitendo vyenye uhusika wa ‚dative‘ na ‚accusative‘
3) Somo 24 – Nimesahau
Kumtembelea mgonjwa Dr. Thürmann. Muhtasari wa sarufi:Wakati timilifu wa vitendo visivyotenganishwa
4) Somo 23 – Kumetokea nini?
Andreas anapokea simu kutoka mtu anayemjua... Muhtasari wa sarufi: Wakati timilifu (perfect tense) wa vitendo vinavyotenganishwa
5) Somo 22 – Jumatano saa moja ya asubuhi
Matatizo Hotel Europa: Bomba la mvua (shower) limeharibika... Muhtasari wa sarufi: Kiulizio cha wakati
6) Somo 21 – Posta iko wapi (Nitafika vipi posta)?
Mtafaruku katika mapokezi ya hoteli... Muhtasari wa sarufi: Kijineno denn
7) Somo 20 – Nimeandikisha chumba (hotelini)
Siku ya kukosa bahati Herr Müller... Muhtasari wa sarufi: Uhusika usioungwa moja kwa moja (dative case III)
8) Somo 19 – Mtu humsemesha vipi Kaizari?
Mahojiano na Karl Mkuu ... Muhtasari wa sarufi: Uhusika usioungwa moja kwa moja (dative case II)
9) Somo 18 – Yeye kaniambia hayo
Mazungumzo kuhusu siri za Aachen... Muhtasari wa sarufi: Uhusika usioungwa moja kwa moja (dative case I)
10) Somo 17 – Asili ya jina Aachen inatoka wapi
Ripoti ya Andreas: maandalizi ya mwanzo ya kikazi... Muhtasari wa sarufi: Hakuna sarufi mpya