Marktplatz – Kijerumani cha biashara | Kujifunza Kijerumani |Deutsche Welle Podcast
1) Sura 26
Maadili ya MashirikaMtindo wa uongozi, mfumo wa nyadhifa, mashirika yanavyojitambulisha: Jinsi makampuni yanavyowasiliana na kujiwasilisha.Mada: Mashirika yanavyojitambulisha, lengo la mashirika, mtin...Show More
2) Sura 25
Chama cha WafanyibiasharaMashauriano, taarifa, ushawishi: Jinsi uchumi wa Ujerumani unavyojisimamia na kujidhihirisha.Mada: Vyama vya kibiashara na kiuchumi vya Kijerumani
3) Sura 24
Uchukuzi wa ndani na utaratibu wa usafirishaji BandariniKontena, mifereji, ada za uchukuzi: Vipi na kwanini mizigo husafirishwa kwa kutumia mito na bahari.Mada: Uchukuzi wa ndani
4) Sura 23
Haki ya kufanya biasharaKugawana kazi, ushirikiano, usimamizi: Jinsi makampuni yanavyojitanua na kuendeleza utaalamu.Mada: Haki ya kufanya biashara, makubaliano ya vibali, maduka mengi
5) Sura 22
Mabadiliko ya kimuundo katika KilimoMaziwa, nafaka, ruzuku: Jinsi ambavyo sekta ya kilimo ilivyobadilika katika kipindi cha miongo kadha iliyopita.Mada: Kilimo
6) Sura 21
Viwanda vinavyobadilikaMakaa ya mawe, upungufu wa ajira: Jinsi Bonde la Ruhr nchini Ujerumani linavyoathiriwa na kutoweka kwa viwanda vya kiasili.Mada: Viwanda vya makaa ya mawe na chuma cha pua, ruzu...Show More
7) Sura 20
Kukabiliana na Maji-takaVichafuzi, mitambo ya kusafisha maji-taka, kuondoa maji-taka: Jinsi ya kuhifadhi na kuhakikisha usafi wa maji.Mada: Maji-taka, utunzaji mazingira
8) Sura 19
Kurundikana Kwa TakaTaka, kutumia upya bidhaa, uchumi shirikishi: Jinsi ya kupunguza taka na kulinda mazingira.Mada: Taka, kutumia upya bidhaa, usimamizi wa mazingira, kanuni za kufunga bidhaa.
9) Sura 18
Changamoto za Kitamaduni – Maonyesho ya Kibiashara mjini Cologne Uwasilishaji, mawasiliano, kuagiza: Jinsi ya kuwasilisha bidhaa kwenye sekta ya biashara.Mada: Maonyesho ya kibiashara
10) Sura 17
Endelea Kusoma Barua za maombi, mafunzo ya kazi, vyeti: Mambo ambayo wafanyakazi wanaweza kuyafanya kuboresha ujuzi wao.Mada: Uwekevu, mafunzo ya kazi, vyuo vya ufundi