Gurudumu la Uchumi Podcast
1) Sherehe za mwisho wa mwaka zisikuache bila pesa, fahamu mbinu za kudhibiti matumizi yako.
Tunapofika mwisho wa mwaka, jamii huingia katika kipindi cha sikukuu kama krismasi na mwaka mpya, ni wakati wa furaha, sherehe na kukutana na familia, lakini pia ni kipindi ambacho matumizi ya fedha h...Show More
2) Mapinduzi ya Elimu Bondo: Jinsi Teknolojia Inavyowawezesha Wasichana Kuandika Kesho Yao
Katika maeneo mengi nchini, hasa magharibi mwa Kenya, wasichana wengi wanaojikuta wakisuasua katika mitihani ya sekondari huishia kwenye ndoa za mapema na mimba za utotoni—mazingira yanayozima ndoto z...Show More
3) Vijana na ujasiriamali Afrika Mashariki: Nini kifanyike kuwawezesha?
Msikilizaji katika nchi zote za Afrika Mashariki, kuna wimbi jipya la matamanio kuhusu hali ya biashara, vijana, wakiongozwa na ubunifu na ustahimilivu! Wakigeuza harakati zao kuwa biashara zinazostaw...Show More
4) Mzunguko haramu wa Fedha: Kizuizi kisichoonekana kwa ustawi wa Afrika
Kulingana na ripoti ya umoja wa Afrika, bara hilo linapoteza takribani dola za Marekani bilioni 88 kila mwaka kupitia njia zisizo halali kama ukwepaji kodi, utakatishaji fedha, utoroshaji wa mali na m...Show More
5) Bomu linalosubiri kulipuka: Kwanini vijana wa Afrika Mashariki hawana ajira licha ya kuwa na shahada
Msikilizaji leo tunalijadili swali ambalo linaathiri mamilioni ya vijana katika ukanda wa Afrika Mashariki, pamoja na wageni tutajiuliza, Je, mfumo wa elimu unawaandaa vijana kupata ajira ambazo hazip...Show More
6) Sehemu ya II: Mfumo mbovu au mafanikio, matajiri 4 Afrika kumiliki nusu ya mali za raia wa bara hilo
Bar ala Afrika ni tajiri kwa rasilimali, vipaji na uwezo, hata hivyo, mamilioni ya raia wake bado wamenasa katika lindi la umaskini, huku wachache wakilimbikiza mali zisizomithilika, Je, hii inasema n...Show More
7) Sehemu ya I: Mfumo mbovu au mafanikio, matajiri 4 Afrika kumiliki nusu ya mali za raia wa bara hilo
Katika bara lenye watu zaidi ya bilioni 1.4, ni watu wanne tu wanaomiliki utajiri zaidi ya nusu ya watu wote. Kulingana na ripoti mpya ya Oxfam, ukosefu huu wa usawa unaostua sio tu takwimu - ni ishar...Show More
8) Kutoka jembe hadi kutumia ndege nyuki (drone): Mapinduzi ya Kilimo Afrika Mashariki
Mwezi mmoja uliopita nilipata bahati ya kuzungumza na Octavian Lasway, mhandisi wa maji na umwagiliaji, lakini pia yeye kijana ambaye anatumia teknolojia kuwasaidia wakulima wa nchi za Afrika Masharik...Show More
9) Utakatishaji Fedha: Kenya yawekwa kwenye orodha ya nchi zilizo na changamoto, Uganda ikiondolewa.
Mwezi Juni mwaka 2025, Tume ya Ulaya iliorodhesha Kenya miongoni mwa nchi zenye changamoto ya utakatishaji wa fedha, huku Uganda ikipata afueni kwa kuondolewa kwenye orodha hiyo. Hatua hii ina maana...Show More
10) EAC: Vipau mbele vya Bajeti za Afrika Mashariki na maana yake kwa raia
Alhamisi ya Juni 12, nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa pamoja kupitia Mawaziri wa Fedha, waliwasilisha Bajeti ya mwaka wa fedha ya mwaka 2025/26. Waziri wa fedha John Mbadi aliwasilisha Bajet...Show More