
SBS Swahili - SBS Swahili Podcast
1) Taarifa ya Habari 26 Septemba 2025
Waziri wa Mambo ya Nje Penny Wong amesema Australia ina simama kidete juu ya tamaduni nyingi, baada ya Rais wa Marekani Donald Trump kukosoa uhamiaji katika hotuba yake kwa kikao cha mkutano wa Umoja ...Show More
2) Taarifa ya Habari 23 Septemba 2025
Waziri Mkuu amesema ombi la utaifa wa Palestina ni fursa ya amani, katika hotuba yake kuhusu soluhu ya nchi mbili, alipo hudhuria kikao cha Umoja wa Mataifa hii leo Jumanne 23 Septemba 2025.
3) Serikali ya shirikisho yazungumza kwa ukali baada ya kupotea kwa huduma ya simu ya dharura ya Optus
Waziri wa Shirikisho wa Mawasiliano amesema Optus inastahili tarajia adhabu kubwa, kufuatia kupotea kwa huduma ya namba ya dharura ya 000, hali ambayo ime husishwa na vifo kadhaa.
4) Kamerhe chini ya shinikizo kuondolewa kama spika wa bunge la DRC
Taratibu zinazolenga kumfuta kazi Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Vital Kamerhe zinaendelea huku kukishuhudiwa hali ya mfarakano kati ya rais Félix Tshisekedi na mshirika wake huyo...Show More
5) Taarifa ya Habari 19 Septemba 2025
Kampuni ya pili kwa ukubwa ya madini imetangaza inapunguza ajira. Anglo American Australia imesema ita angaza kupunguza idadi ya wafanyakazi Queensland, na takriban wafanyakazi 200 wata athirika.
6) Raia wapya wa Australia wakaribishwa katika sherehe katika Siku ya Uraia ya Australia
Maelfu ya watu wanasherehekea kuwa raia wapya wa Australia, katika sherehe zilizo andaliwa na halamshauri za jiji kote nchini kwa siku ya Uraia wa Australia.
7) SBS Learn Eng Ep 93 Namna ya kujigamba kuhusu gari lako katika Kiingereza
Je, unajua jinsi ya kujigamba kuhusu gari lako?
8) Taarifa ya Habari 16 Septemba 2025
Naibu Waziri Mkuu Richard Marles amekana madai kuwa uwekezaji wa $12 bilioni iliyo tangazwa juzi ime undwa ili kutuliza maombi ya Marekani kwa Australia kuongeza matumizi yake katika ulinzi.
9) SBS Learn Eng Ep 95 Anga la usiku
Je, unajua jinsi ya kuelezea kuhusu anga la usiku?
10) Kitu chakufanya unapo kutana na wanyamapori kwenye mali yako
Popote ulipo nchini Australia, kutoka jiji kuu lenye shughuli nyingi, hadi katika viunga vya mji, katika mji wa kikanda au kijijini, kuna uwezekano unaweza kutana na aina mbali mbali za wanyamapori wa...Show More